Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia hapa Tandala (Makete)
Tandala (kwa Kiingereza: kudu) ni wanyama wa jenasi Tragelaphus katika familia Bovidae. Spishi nyingine huitwa bongo, kulungu, malu, nyala au nzohe. Wanatokea Afrika katika maeneo yenye miti kutoka nyika hadi msitu. Wana milia na madoa nyeupe juu ya rangi ya kahawa au kijivu. Dume ni kubwa kuliko jike na ana pembe ndefu zilizopotolewa. Jike hana pembe. Wanyama hawa hula majani, manyasi, matunda na viazi vya gugu.
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia hapa Tandala (Makete)