dcsimg

Kiogajivu ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Viogajivu au kambu ni ndege wa tropiki wa jenasi Coracias katika familia Coraciidae. Wanafanana na kunguru wadogo wenye rangi kali: kahawia, buluu na zambarau. Spishi nyingine zina mileli miwili nyingine zina mkia wa mraba. Hula wadudu ambao wanawakamata kutoka kitulio cha juu. Tago lao ni tundu mtini. Jike huyataga mayai 2-4.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Kiogajivu: Brief Summary ( Swahili )