Armadilo
(
Swahili
)
provided by wikipedia emerging languages
Armadilo (kutoka Kihispania: armadillo) ni wanyama wadogo wa Amerika wenye mabamba ya mifupa juu ya mgongo yao. Wanafanana na kakakuona wa Afrika na Asia kijuujuu.
Spishi
Oda CINGULATA
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni
mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu
Armadilo kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari. Makala hii kuhusu
"Armadilo" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili
armadillo kutoka lugha ya Kihispania. Neno (au maneno) la jaribio ni
armadilo.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.
- license
- cc-by-sa-3.0
- copyright
- Waandishi wa Wikipedia na wahariri
Armadilo: Brief Summary
(
Swahili
)
provided by wikipedia emerging languages
Armadilo (kutoka Kihispania: armadillo) ni wanyama wadogo wa Amerika wenye mabamba ya mifupa juu ya mgongo yao. Wanafanana na kakakuona wa Afrika na Asia kijuujuu.
- license
- cc-by-sa-3.0
- copyright
- Waandishi wa Wikipedia na wahariri