Mbizi au michemba ni ndege wa maji wa jenasi Anhinga, jenasi pekee ya familia Anhingidae. Wana shingo refu na domo refu lenye ncha kali na makali ya menomeno. Huzamia chini ya maji ili kuwakamata samaki wakiuliza domo lao kama mkuki. Huzaa kwa makoloni na hujenga tago lao la vitawi mitini au kwa matete.