Paka Miguu-myeusi
(
Swahili
)
provided by wikipedia emerging languages
Paka miguu-myeusi (Felis nigripes) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ni mdogo kuliko paka wengine wa Afrika[1] na anatokea maeneo makavu ya kusi-magharibi ya bara.
Picha
Katika bustani ya wanyama
Katika bustani ya wanyama
Paka aonyesha nyayo zake nyeusi
Marejeo
-
↑ Wozencraft, W. Christopher (2005). "Order Carnivora (pp. 532-628)". In Wilson, Don E., and Reeder, DeeAnn M., eds. Mammal Species of the World: A Taxonomic and Geographic Reference (3rd ed.). Baltimore: Johns Hopkins University Press, 2 vols. (2142 pp.). ISBN 978-0-8018-8221-0. OCLC 62265494
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni
mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu
Paka Miguu-myeusi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari.
- license
- cc-by-sa-3.0
- copyright
- Waandishi wa Wikipedia na wahariri
Paka Miguu-myeusi: Brief Summary
(
Swahili
)
provided by wikipedia emerging languages
Paka miguu-myeusi (Felis nigripes) ni mnyama mbuai wa nusufamilia Felinae katika familia Felidae. Paka huyu ni mdogo kuliko paka wengine wa Afrika na anatokea maeneo makavu ya kusi-magharibi ya bara.
- license
- cc-by-sa-3.0
- copyright
- Waandishi wa Wikipedia na wahariri