Dubwana-Gila (Heloderma suspectum) ni mjusi mkubwa mwenye sumu wa Marekani na Mexiko. Ana magamba ya rangi ya machungwa, njano na nyeusi.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni
mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu
Dubwana-Gila kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari.