Shetani wa Tasmania (kutoka Kiing.: Tasmanian devil, Kisayansi: Sarcophilus harrisii) ni mnyama wa Marsupialia wa Tasmania mwenye manyoya meusi ambaye anapatikana katika maeneo ya porini ya kisiwa cha Australia kwenye makao ya Tasmania ikiwemo kisiwa kidogo cha Maria ambapo kuna mpango wa utunzaji wa wanyama wasio na magonjwa.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni
mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu
Shetani wa Tasmania kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari. Makala hii kuhusu
"Shetani wa Tasmania" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili
Tasmanian devil kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni
shetani wa Tasmania.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.
Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.