dcsimg

Shakwe ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Shakwe ni ndege wa familia Laridae. Watu wengi huita spishi za Sternidae shakwe pia. Spishi za Laridae zina michanganyiko ya rangi za nyeupe, nyeusi na kijivu; nyingine ni nyeupe kabisa, nyingine kijivucheusi. Ndege hawa wana domo lenye nguvu na ncha kali; domo lao ni nene kuliko lile la spishi za Sternidae. Wanaweza kuogelea na wana ngozi kati ya vidole vyao.

Shakwe huhusiswha na pwani, na kweli pale wako tele, lakini spishi nyingi wanatokea mbali na bahari, kwa kawaida karibu na maji. Spishi za Rissa huonekana baharini mbali na pwani. Shakwe huwakamata samaki wadogo au kaa au gegereka wengine lakini hula mizoga pia. Hulitengeneza tago lao chini, mara nyingi kisiwani.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Shakwe: Brief Summary ( Swahili )