dcsimg

Mtango wa Afrika ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Mitango ya Afrika ni spishi za mimea za Afrika kwenye jenasi Momordica katika familia Cucurbitaceae. Matunda yao yanafanana na matango na kwa kawaida yana rangi ya nyekundu au ya machungwa yakiwa yameiva. Mbegu zao zimepambika kwa mpako mwekundu kama upepe wa maharagwe.

Spishi za Afrika zilizochaguliwa

Picha

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri

Mtango wa Afrika: Brief Summary ( Swahili )