dcsimg

Bui-bahari ( Swahili )

provided by wikipedia emerging languages

Bui-bahari ni cheliserata wa oda ya Pantopoda, oda pekee ya ngeli ya Pycnogonida, ambao wanaotokea baharini.

Crystal Clear app babelfish vector.svg Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bui-bahari kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Bui-bahari" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili sea spider kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni bui-bahari.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

license
cc-by-sa-3.0
copyright
Waandishi wa Wikipedia na wahariri