Bundi ni oda ya ndege wala nyama wanaowinda saa za usiku hasa wakati wa giza.
Ndani yake kuna familia mbili:
Baadhi ya jamii chache zimekuwa zikihusisha bundi na ushirikina [1] ama uchawi, hivyo kutia wengi mashaka, hasa wanaposikia sauti ya ndege huyo.
Bundi ni oda ya ndege wala nyama wanaowinda saa za usiku hasa wakati wa giza.
Ndani yake kuna familia mbili:
familia ya Strigidae familia ya TytonidaeBaadhi ya jamii chache zimekuwa zikihusisha bundi na ushirikina ama uchawi, hivyo kutia wengi mashaka, hasa wanaposikia sauti ya ndege huyo.